Sunday, 29th January 2023 | Praise and Worship

Praise and Worship

(CHORUS) Wakuabudiwa, wakuheshimiwa ni wewe mungu Wakupewa sifa, na utukufu ni wewe mungu Mungu mwenye nguvu, wastahili heshima zote Hakuna mwingine, wakulinganishwa na wewe mungu ×2 Umesema wewe, jina lako liko na liko niwe mungu Unafanya mambo, yaliyo juu ya fahamu zetu mungu Ukisema ndio, nani awezaye kupinga hakuna Wewe unatupa, kushinda na zaidi ya kushinda Unatupandisha,utukufu hadi utukufu mungu ×2 (CHORUS) Uzima wetu, uko miikononi mwako mungu Unawapa nguvu, wanyonge na wadhaifu mungu Unawanyeshea mvua wema nao waovu mungu Mwanadamu nani, wakulinganishwa na wewe mungu Nani mwenye nguvu, wa kusimama mbele yako mungu ×2 (CHORUS)